MOHAMED SALAH, FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 2-0 ENGLAND Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 42 ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Southampton Uwanja wa St. Mary's leo. Bao la kwanza limefungwa na Roberto Firmino dakika ya sita
0 comments:
Post a Comment