MESSI ALIPOKUTANA NA LINEKER WATANO BAADA YA KUTUA LONDON
Lionel Messi akiwa na gwiji wa soka England, Gary Lineker na wanawe wanne wa kiume kutoka kushoto Angus, George, Harry na Tobias baada ya kuwasili mjini London na timu yake, Barcelona kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Chelsea kesho
0 comments:
Post a Comment