Leo Jumatatu ya January 29 2018 Coutinho ameripotiwa kurudi katika jiji la Liverpool na kwenda kuaga ikiwa ni siku 21 zimepita aondoke England na kwenda Hispania kujiunga na FC Barcelona, imeripotiwa kuwa Coutinho amerudi katika jiji la Liverpool na kwenda katika uwanja wa mazoezi wa Liverpool Melwood kuaga marafiki zake.
Coutinho baada ya kurejea Liverpool Melwood alipokea na kukaribishwa na Adam Lallana ambaye walicheza pamoja nae toka 2014, kama utakuwa unakumbuka vizuri Coutinho amejiunga na FC Barcelona ya Hispania kwa uhamisho wa dau la pound milioni 145
0 comments:
Post a Comment