Christian Eriksen alifunga
bao
sekunde ya 11 tu ya mchezo, bao la Eriksen ndio linakuwa bao la mapema
zaidi kwa Manchester United kuwahi kufungwa katika ligi kuu ya EPL.
Lakini
nlinzi wa Manchester United Phill Jines akijifunga bao lililoufanya
mchezo kuisha kwa Tot kushindwa kwa bao 2 kwa 0 na sasa Tot wanakuwa
wamefaidika kwa mabao 3 ya kujifunga ndani ya msimu huu.
Ushindi wa leo wa Tottenham mbele ya
United unawafanya Tottenham Hotspur kwa mara ya kwanza baada ya miaka 52
iliyopita kuwafunga Manchester United katika michezo mitatu nyumbani
kwao.
Wakati
United wakifa, majirani zao Manchester City waliibuka na ushindi wa
mabao matatu huku mabao ya leo yakiwafanya kuwa timu ya kwanza barani
Ulaya kufunga mabao 100 msimu huu.
Mchezaji
mpya wa Everton Theo Walcotta lifunga mara mbili wakati Everton
ikiichapa Leicester bao 2 kwa 0 huku Chelsea wakiwa nyumbani wakakubaki
kipigo cha mabao 3 kwa nunge toka kwa Afc Bournamouth.
Newcastle wakiwa nyumbani walilazimishwa suluhu ya bao moja kwa moja
dhidi Burnley, Stoke City na Watford nao wakamaliza mchezo wao kwa sare
ya kutokufungana.
0 comments:
Post a Comment