Pierre-Emerick Aubameyang amejiunga na Arsenal katika moja ya usajiloi mkubwa dirisha hili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
DIRISHA
dogo la usajili la Januari kwa mwaka huu 2018 limefungwa jana Saa 6:00
usiku huku ikishuhudiwa wachezaji kadhaa nyota wakisajiliwa katika siku
ya mwisho.
Kila
kocha wa Ligi Kuu ya England, alikuwa akihangaika mwezi wote huu
kutafuta wachezaji wapya wa kuongeza nguvu kwenye kikosi chake ili
kuhakikisha kufika mwezi Mei anaonyesha tofauti.
Ili kujua kila klabu imefanya nini katika dirisha hilo dogo la usajili kwa maana ya kuacha, kuuza na kununua wachezaji

0 comments:
Post a Comment