Kiungo
Mjerumani, Mesut Ozil akiwa na kocha wake, Mfaransa Arsene Wenger
wakati anasaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Arsenal kwa miaka
mitatu na nusu zaidi wiki hii, ambao utamfanya awe analipwa mshahara wa
Pauni 300,000, ambao ni Pauni 120,000 zaidi ya anaolipwa mshambuliaji mpya, Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund
Home
»
»Unlabelled
» WENGER ALIVYOFURAHIA KUMTIA PINGU OZIL KWA PAUNI 300,000 KWA WIKI
Friday, February 2, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment