Aaron
Ramsey (kushoto) akikimbia kushangilia na Danny Welbeck (kulia) baada
ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 45 na ushei ikiwalaza
wenyeji, AC Milan 2-0 Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan
kufuatia Henrikh Mkhitaryan kufunga la kwanza dakika ya 15 katika mchezo
wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Europa League usiku huu
Home
»
»Unlabelled
» ARSENAL YANG'ARA ULAYA, YAITANDIKA AC MILAN 2-0 GUISEPPE MEAZZA
Friday, March 9, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment