Diego
Costa akishangilia kwa kuinua vidole juu baada ya kuifungia bao la
pili Atletico Madrid dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya
Locomotiv Moscow usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini
Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Europa League. Mabao
mengine ya Atletico Madrid yamefungwa na Saul Niguez dakika ya 22
na Koke dakika ya 90
Home
»
»Unlabelled
» COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW
Friday, March 9, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment