Shirikisho la soka nchini (TFF), limemtangaza kiungo wa klabu ya
Yanga raia wa DR Congo, Papy Kabamba Tshitshimbi kuwa mchezaji bora wa
mwezi Februari ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Tshitshimbi ametwaa tuzo hiyo baada ya kutupia mabao matatu na kukisaidia kikosi chake cha Yanga kuibuka na alama 12.
Katika kinyang’anyiro hicho Tshitshimbi ameshindana na Pius Buswita wa Yanga SC na Emmanuel Okwi wa Simba SC.
Kawaida mshindi wa tuzo hiyo huzawadiwa kitita cha milioni moja pamoja na king’amuzi cha Azam TV.
Home
»
»Unlabelled
» Tshitshimbi awapiku Buswita na Okwi tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari
Tuesday, March 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment