Beki
wa kulia, Mbrazil Fabio Henrique Tavares, maarufu kama Fabinho akisaini
mkataba wa kujiunga na Liverpool kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni
39.4 kutoka Monaco ambao utamuweka Anfield hadi Juni 2023, akichukuliwa kwenda kukamata nafasi ya Emre Can
0 comments:
Post a Comment