Nyota
wa Manchester City, Bernando Silva wa Ureno akikabiliana na mchezaji wa
Tunisia wakati wa mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Munispaa
ya Braga kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi
timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Ureno walitangulia kwa mabao ya Andre
Silva dakika ya 22 na Joao Mario dakika ya 34, kabla ya Tunisia
kusawazisha kupitia kwa Anice Badri dakika ya 39 na Fakhreddine Ben Youssef dakika ya 64
Home
»
»Unlabelled
» TUNISIA WAICHOMOLEA URENO MABAO YOTE, SARE 2-2 BRAGA
Tuesday, May 29, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment