Tuesday, May 29, 2018


Mshambuliaji Mfaransa wa Chelsea, Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya taifa bao la kwanza dakika ya 40 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la pili la timu ya Didier Deschamps lilifungwa na Nabil Fekir anayetakiwa na Liverpool dakika ya 43

0 comments:

Post a Comment