Monday, June 4, 2018


  • 1Bingwa wa michuano ya Australian Open, Caroline Wozniacki ameyaaga mashindano ya French Open baada ya kupokea kipigo kutoka kwa mwanadada, Daria Kasatkina mchezo wa raundi ya nne.
Daria Kasatkina was hugely impressive in beating Caroline Wozniacki
Daria Kasatkina akifanikiwa kumfunga Caroline Wozniacki
Wozniacki amepokea kichapo cha jumla ya seti  7-6 (7-5) 6-3 kutoka kwa kija mdogo raia wa Urusi mwenye umri wa miaka 21, Daria Kasatkina.
Caroline Wozniacki had no answer to Kasatkina's enterprising shotmaking
Caroline Wozniacki akishindwa kuwa na chakufanya mbele ya Kasatkina
Mchezaji namba moja kwenye kiwango cha ubora wa tennis duniani kwa wanawake, Simona Halep mapema amefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali baada ya kumfunga, Belgian Elise Mertens kwa seti 6-2 6-1.

0 comments:

Post a Comment