Uingereza inajaribu kutumia kila njia ya mafunzo ili kuhakikisha inakiweka sawa kikosi chake kama baadhi ya wachezaji walivyooneka wakitumia mchezo maarufu wa India ujulikanao kwajina la ‘Kabaddi’ kama sehemu yao ya mazoezi.
Wachezaji wenye majina makubwa kama, Harry Kane, Dele Alli na Marcus Rashfod ni sehemu ya waliyofanya mazoezi hayo kwa mfumo wa makundi.
Kocha wa timu hiyo, Southgate anahaha kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa makini na mashindano hayo na kufanya kazi kwa pamoja.
Mchezo wa Kabbadi ukiwa unachezwa na wahindi
0 comments:
Post a Comment