Aliyekuwa
Kocha wa klabu ya Mbao FC ambaye ni raia wa Burundi, Ettiene
Ndayiragije amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha KMC ya Manispaa
ya Kinondoni ambayo imepanda kucheza ligi kuu msimu ujao.

Ettiene amesaini mkataba huo Ijumaa hii kwenye ofisi ya Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta zilizopo Jijini Dar es Salaam.
Mapema mwezi April mwaka huu kocha huyo alitajwa kutakiwa na Yanga kwa ajili ya kurithi mikoba ya George Lwandamina lakini dili hilo lilionekana kupotelea hewani.

Comments