Bingwa
wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd
Joy Mayweather Jr. ameposti picha hii akiwa na mwanawe Koraun kumpongeza
kwa kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu, akjivunia sana hilo kwa
sababu yeye mwenyewe hakusoma kutokana na kujikita kwenye mchezo wa
ndondi mapema.
0 comments:
Post a Comment