Saturday, July 21, 2018

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Shiza Kichuya ameposti picha akiwa gym anaonekana amechoka baada ya kufanya mazoezi ya kutosha. Kichuya ni miongoni mwa nyota wa Simba SC wanaotarajiwa kuondoka kesho Uturuki kwa kambi ya wiki mbili kujiandaa na msimu mpya

0 comments:

Post a Comment