Mshambuliaji
wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang (mbele) akiwa kwenye maji
akiupoza mwili baada ya mazoezi ya leo Uwanja wa Colney mjini London
chini ya kocha mpya, Mspaniola, Unai Emery aliyechukua nafasi ya kocha
wa muda mrefu, Mfaransa Arsene Wenger. Arsenal inatarajiwa kwenda Singapore Jumapili kushiriki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa
Home
»
»Unlabelled
» ARSENAL CHINI YA KOCHA MPYA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA MOTO
Saturday, July 21, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment