Wakati
baadhi ya wachezaji wa Barcelona wakiwa tayari wamerejea na kujiunga na
klabu hiyo nyota wao Lionel Messi ameonekana akifanya mazoezi ya hatari
na mbwa wake wakati akiwa nyumbani kwake.
Video Player
00:00
00:30
Kufuatia
ushiriki wake kwenye michuano ya kombe la dunia nyota huyo
wa Argentina, Messi amepatiwa muda wa kupumzika kabla ya kujiunga tena
na Barcelona hivyo kutumia muda huo kufanya mazoezi akiwa peke yake.
Kutokana
na video aliyoposti mke wake, Antonella Roccuzzo kupitia mtandao wake
wa Instagram inamuonyesha Messi akifanya mazoezi mepesi na mbwa.
0 comments:
Post a Comment