Nyota
wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah na Sadio Mane wamerejea hii leo
siku ya Ijumaa huko Melwood tayari kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya
wa ligi kuu nchini Uingereza.
Jezi
namba 10 ndani ya Liverpool imewahi kuvaliwa na wachezaji kama, John
Barnes, Joe Cole, Luis Garcia, Michael Owen na Andriy Voronin.
Mane na Salah walikuwa kwenye michuano ya kombe la dunia ambapo waliwakilisha mataifa yao.
0 comments:
Post a Comment