SALAH AKIJIACHIA UFUKWENI KABLA YA KUREJEA KAZINI Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ameposti picha hii katika wasifu wake wa Twitter akiwa ufukweni katika kipindi hiki cha kumalizia mapumziko kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
0 comments:
Post a Comment