Mashindano ya mbio za magari kwa mwaka 2018 yatashirikisha nchi mbalimbali kama ilivyo kawaida ikiwemo madereva kutoka nchi za Zambia, Kenya, Uganda na Oman, mashindano hayo kwa mwaka huu yataanza August 31 hadi September 2.
Mahindano ya African Rally Champioship yatachezewa Ubena na sio katika barabara za kawaida tena, lengo likiwa ni kuepuka ajali kwa watu wasiohusika na mchezo huo tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, hivyo mchezo huo kwa mwaka huu utachezwa Ubena Estate
0 comments:
Post a Comment