Mshambuliaji
Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake
dakika za 25, 35 na 75 katika ushindi wa 6-1 wa Manchester City dhidi ya
Huddersfield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa
Etihad leo. Mabao mengine ya City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya
31, David Silva dakika ya 48 na Terence Kongolo aliyejifunga dakika ya
84, wakati la Huddersfield United yamefungwa na Jon Stankovic dakika ya
43
Home
»
»Unlabelled
» AGUERO APIGA HAT TRIC MAN CITY YAIBAMIZA HUDDERSFIELD 6-1 ETIHAD
Sunday, August 19, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment