Saturday, August 18, 2018


Leo August 18, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere ambapo aliwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ATCL alipokuwa akielekea Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine

0 comments:

Post a Comment