Mshambuliaji
anayecheza kwa mkopo Valencia kutoka Chelsea, Michy Batshuayi akiwa na
mchezaji mwenzake wa zamani wa The Blues, Diego Costa ambaye sasa
anachezea Atletico Madrid baadfa ya wawili hao kukutana kwenye baina ya
timu zao za sasa iliyomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Mestalla.
Atletico ilitangulia kwa bao la Angel Martin Correa dakika ya 26, kabla
ya Rodrigo Moreno Machado kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56
Home
»
»Unlabelled
» COSTA NA BATSHUAYI WAKUTANA ATLETICO NA VALENCIA ZIKITOKA SARE LA LIGA
Tuesday, August 21, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment