Usiku
wa leo kunatarajiwa kutangazwa droo ya michuano mikubwa kabisa barani
Ulaya ya UEFA Champions League ambapo jumla ya timu 32 zikipangwa kwenye
makundi.
Maswali
mengi yamekuwa yakiibuka juu ya klabu kubwa England, Manchester City,
Manchester United, Tottenham Hotspur na Liverpool je zitakutana kwenye
hatua hiyo ya makundi.
Wachambuzi wa
maswala ya michezo duniani nao wamekuwa wakiangazia je ni grupu lipi
litakuwa la kifo kwenye droo hiyo huku mashabiki wa England wakizipa
nafasi kubwa klabu ya Liverpool na Manchester City kwenye michuano hiyo.
0 comments:
Post a Comment