Leo August 8, 2018
ni Simba Day inayofanyika katika Uwanja wa Taifa hapa nakusogezea video
ikimuonyesha Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akiingia uwanjani
Taifa na kusalimia mashabiki, Manara huwa anajiita AKA De Le Boss ila leo kajiongezea jina katika jezi yake anajiita ‘King De Le Boss’
0 comments:
Post a Comment