HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVEGonzalo
Higuain akiwa amepozi na jezi ya AC Milan kuelekea kufanyiwa vipimo vya
afya kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa muda mrefu wa
msimu timu hiyo kutoka Juventus, zote za Italia. Juve inamuacha Higuain
baada ya kumnunua Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo kwa Pauni
Milioni 100 kutoka Real Madrid ya Hispania
Home
»
»Unlabelled
» HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVE
Thursday, August 2, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment