Friday, August 10, 2018

Yerry Mina, Andre-Frank Anguissa, Caglar Soyuncu
Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji England lilifungwa mnamo Alhamisi 9 Agosti saa moja saa Afrika Mashariki (ambazo ni saa kumi na moja England - 17.00BST), mwaka huu soko likifungwa mapema kuliko misimu ya awali.
Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, miongoni mwake ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu.
Soko la kuhama wachezaji Scotland pia litafungwa 31 Agosti sawa na katika mataifa mengine Ulaya.
Siku ya mwisho, nani alihama?

9 Agosti

Ligi Kuu ya England
* saa ni wakati (kwa BST) uhamisho ulipotangazwa na klabu
20:30 Danny Ings [Liverpool - Southampton] Mkopo
20:20 Andre-Frank Zambo Anguissa [Marseille - Fulham] £22.3m
20:20 Timothy Fosu-Mensah [Manchester United - Fulham] Mkopo
20:02 Andre Gomes [Barcelona - Everton] Mkopo
20:02 Yerry Mina [Barcelona - Everton] £27.19m
19:21 Domingos Quina [West Ham - Watford] Ada Haijafichuliwa
19:01 Luciano Vietto [Atletico Madrid - Fulham] Mkopo
18:59 Martin Montoya [Valencia - Brighton] Ada Haijafichuliwa
18:35 Federico Fernandez [Swansea - Newcastle] iliripotiwa kuwa £6m
18:30 Harry Arter [Bournemouth - Cardiff] Mkopo
18:00 Caglar Soyuncu [Freiburg - Leicester] iliripotiwa kuwa £19m
18:00 Jordan Ayew [Swansea - Crystal Palace] Mkopo
17:40 Joe Bryan [Bristol City - Fulham] £6m
17:18 Sergio Rico [Sevilla - Fulham] Mkopo
17:15 Peter Gwargis [Jonkopings Sodra IF - Brighton] Ada Haijafichuliwa
17:01 Isaac Mbenza [Montpellier - Huddersfield] Mkopo
17:00 Carlos Sanchez [Fiorentina - West Ham] Ada Haijafichuliwa
16:59 Dan Burn [Wigan - Brighton] Ada Haijafichuliwa*
*Burn atarejea Wigan kwa Mkopo hadi Januari 2019
16:50 Bernard [Shakhtar Donetsk - Everton] Bila Ada
14:30 Leander Dendoncker [Anderlecht - Wolves] Mkopo
13:00 Victor Camarasa [Real Betis - Cardiff] Mkopo
10:45 Filip Benkovic [Dinamo Zagreb - Leicester] Ada Haijafichuliwa
10.31 Lucas Perez [Arsenal - West Ham] Ada Haijafichuliwa
10:02 Mateo Kovacic [Real Madrid - Chelsea] Mkopo
08:06 Daniel Arzani [Melbourne City - Manchester City] Ada Haijafichuliwa
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
21:00 Joe Garner [Ipswich - Wigan] Ada Haijafichuliwa
19:27 Donervon Daniels [Wigan - Blackpool] Bila Ada
18:30 Josh Windass [Rangers - Wigan] Ada Haijafichuliwa
18:00 Connor Ripley [Middlesbrough - Accrington] Mkopo
18:00 Lee Angol [Mansfield - Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
18:00 Duane Holmes [Scunthorpe - Derby] Ada Haijafichuliwa
18:00 Ryan Colclough [Wigan - Scunthorpe] Ada Haijafichuliwa
17:59 Jason Shackell [Derby - Lincoln] Bila Ada
17:30 Sam Clucas [Swansea - Stoke] £6m
17:20 Jason McCarthy [Barnsley - Wycombe] Ada Haijafichuliwa
17:02 Joan Luque [Heybridge Swifts - Lincoln] Ada Haijafichuliwa
17:01 Gary Gardner [Aston Villa - Birmingham] Mkopo
17:00 Declan John [Rangers - Swansea] Ada Haijafichuliwa
17:00 Peter Vincenti [Coventry - Macclesfield] Bila Ada
16:59 Jamie Hanson [Derby - Oxford] Ada Haijafichuliwa
16:55 Josh Gordon [Leicester - Walsall] Ada Haijafichuliwa
16:44 Tsun Dai [Bury - Oxford] Ada Haijafichuliwa
16:31 Jay Dasilva [Chelsea - Bristol City] Mkopo
16:30 Isaiah Osbourne [Forest Green - Walsall] Bila Ada
16:04 Ricky Holmes [Sheffield United - Oxford] Mkopo
16:00 Michael Hefele [Huddersfield - Nottingham Forest] Ada Haijafichuliwa
15:30 Alex Jakubiak [Watford - Bristol Rovers] Mkopo
14:00 Callum Connolly [Everton - Wigan] Mkopo
14:00 Stefan Payne [Shrewsbury - Bristol Rovers] Ada Haijafichuliwa
13:15 Lukas Nmecha [Manchester City - Preston] Mkopo
12:33 Anthony Gerrard [Oldham - Carlisle] Bila Ada
12:00 Andy Mangan [Bala Town - Accrington] Bila Ada
11:29 Canice Carroll [Oxford - Brentford] Ada Haijafichuliwa
11:00 Kayden Jackson [Accrington - Ipswich] Ada Haijafichuliwa
11:00 Ollie Norburn [Tranmere - Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
09:00 Ivan Toney [Newcastle - Peterborough] Ada Haijafichuliwa
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Lucas Perez aliondoka Arsenal
Ligi ya Scotland
19:22 Tom Aldred [Bury - Motherwell] Mkopo
13:14 Nicolai Brock-Madsen [Birmingham - St Mirren] Mkopo
Kimataifa
19:30 Jordi Amat [Swansea - Rayo Vallecano] £1m
17:41 Milan Djuric [Bristol City - Salernitana] Ada Haijafichuliwa
12:18 Thibaut Courtois [Chelsea - Real Madrid] Ada Haijafichuliwa
10:04 Jordan Flores [Wigan - Ostersunds FK] Mkopo

8 AgostiLucas Perez

Ligi Kuu ya England
Kepa Arrizabalaga [Athletic Bilbao - Chelsea] £71m
Adama Traore [Middlesbrough - Wolves] £18m
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Lee Camp [Cardiff - Birmingham] Bila Ada
Greg Docherty [Rangers - Shrewsbury] Mkopo
John McGinn [Hibernian - Aston Villa] Ada Haijafichuliwa
Jordan Hugill [West Ham - Middlesbrough] Mkopo
A-Jay Leitch-Smith [Shrewsbury - Morecambe] Bila Ada
Scott Malone [Huddersfield - Derby] Ada Haijafichuliwa
Jon Nolan [Shrewsbury - Ipswich] Ada Haijafichuliwa
Toto Nsiala [Shrewsbury - Ipswich] Ada Haijafichuliwa
Martyn Waghorn [Ipswich - Derby] Ada Haijafichuliwa
Jordan Williams [Huddersfield - Barnsley] Ada Haijafichuliwa
Ligi ya Scotland
Daniel Bachmann [Watford - Kilmarnock] Mkopo
Emerson Hyndman [Bournemouth - Hibernian] Mkopo
Thomas Agyepong [Manchester City - Hibernian] Mkopo
Kimataifa
Brad Smith [Bournemouth - Seattle Sounders] Mkopo

7 Agosti

Ligi Kuu ya England
Calum Chambers [Arsenal - Fulham] Mkopo
Joe Hart [Manchester City - Burnley] £3.5m
Jefferson Lerma [Levante - Bournemouth] £25m
Matej Vydra [Derby - Burnley] Ada Haijafichuliwa
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Thibaut Courtois alihamia Real Madrid
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Amadou Bakayoko [Walsall - Coventry] Ada Haijafichuliwa
Brandon Barker [Manchester City - Preston] Mkopo
Omar Bogle [Cardiff - Birmingham] Mkopo
Connor Mahoney [Bournemouth - Birmingham] Mkopo
Bryn Morris [Shrewsbury - Wycombe] Mkopo
Orjan Nyland [Ingolstadt - Aston Villa] Ada Haijafichuliwa
Dara O'Shea [West Brom - Exeter] Mkopo
Moses Odubajo [Hull - Brentford] Bila Ada
Andrew Scott [Maiden City Soccer - Accrington] Bila Ada
Luke Waterfall [Lincoln - Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
David Wheeler [QPR - Portsmouth] Mkopo
Ligi ya Scotland
Borna Barisic [Osijek - Rangers] £2.2m
Jacob Marsden [Mildenhall - Hamilton] Bila Ada
Delphin Tshiembe [AC Horsens - Hamilton] Bila Ada

6 Agosti

Ligi Kuu ya England
Salomon Rondon [West Brom - Newcastle] Mkopo
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Adam Armstrong [Newcastle - Blackburn] Ada Haijafichuliwa
Dwight Gayle [Newcastle - West Brom] Mkopo
Callum Styles [Bury - Barnsley] Ada Haijafichuliwa
*Styles atarejea Bury kwa Mkopo hadi Januari 2019
Fikayo Tomori [Chelsea - Derby] Mkopo
Axel Tuanzebe [Manchester United - Aston Villa] Mkopo
Kimataifa
Dodi Lukebakio [Watford - Fortuna Dusseldorf] Mkopo

5 Agosti

Ligi Kuu ya England
Ben Gibson [Middlesbrough - Burnley] £15m
Rachid Ghezzal [Monaco - Leicester] Ada Haijafichuliwa

4 AgostiThibaut Courtois

Kimataifa
Aleix Vidal [Barcelona - Sevilla] £9.35m

3 Agosti

Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Tosin Adarabioyo [Manchester City - West Brom] Mkopo
Aden Baldwin [Bristol City - Cheltenham] Mkopo
Adam Campbell [Morecambe - Carlisle] Mkopo
Seny Dieng [QPR - Stevenage] Mkopo
Tayo Edun [Fulham - Ipswich] Mkopo
Morgan Ferrier [Boreham Wood - Walsall] Ada Haijafichuliwa
Jack Fitzwater [West Brom - Walsall] Mkopo
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Danny Ings ameihama Liverpool
Darron Gibson [Bila klabu - Wigan]
Kalvin Lumbombo Kalala [Bila klabu - Cheltenham]
Cedric Kipre [Motherwell - Wigan] £1m
Matthew Lund [Burton - Scunthorpe] Ada Haijafichuliwa
Wes McDonald [Birmingham - Yeovil] Bila Ada
Malachi Napa [Oxford - Macclesfield] Mkopo
Gary O'Neil [Bristol City - Bolton] Bila Ada
Alex Pattison [Middlesbrough - Yeovil] Mkopo
Matthew Platt [Blackburn - Accrington] Mkopo
Antonee Robinson [Everton - Wigan] Mkopo
Ryan Sweeney [Stoke - Mansfield] Mkopo
George Thomas [Leicester - Scunthorpe] Mkopo
Dexter Walters [Tamworth - Coventry] Ada Haijafichuliwa
Kane Wilson [West Brom - Walsall] Mkopo
Kimataifa
Chuba Akpom [Arsenal - PAOK Salonika] Ada Haijafichuliwa
Michael Mancienne [Nottingham Forest - New England Revolution] Bila Ada
Ahmed Musa [Leicester - Al-Nassr] Ada Haijafichuliwa

2 Agosti

Ligi Kuu ya England
Alfie Mawson [Swansea - Fulham] £20m
Max Meyer [Schalke - Crystal Palace] Bila Ada
Yoshinori Muto [Mainz - Newcastle] Ada Haijafichuliwa
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Yoann Arquin [Unattached - Yeovil]
Kean Bryan [Manchester City - Sheffield United] Bila Ada
Adam Crookes [Nottingham Forest - Lincoln] Mkopo
Tyler Garratt [Doncaster - AFC Wimbledon] Mkopo
Anthony Grant [Peterborough - Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
Mark Harris [Cardiff - Newport] Mkopo
Jordy Hiwula [Huddersfield - Coventry] Ada Haijafichuliwa
Paul Jones [Norwich - Fleetwood] Bila Ada
Herbie Kane [Liverpool - Doncaster] Mkopo
Andy Lonergan [Leeds - Middlesbrough] Bila Ada
Rod McDonald [Coventry - AFC Wimbledon] Ada Haijafichuliwa
Callum McFadzean [Guiseley - Bury] Bila Ada
Ishmael Miller [Unattached - Oldham]
Stuart Moore [Swindon - MK Dons] Bila Ada
Luke Murphy [Leeds - Bolton] Bila Ada
Sid Nelson [Millwall - Swindon] Mkopo
Luke Simpson [York - Macclesfield] Bila Ada
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Jordan Ayew ameungana na kakake Andre katika kuihama Swansea City baada yao kushushwa daraja Ligi ya Premia
Jiri Skalak [Brighton - Millwall] Ada Haijafichuliwa
Cole Stockton [Carlisle - Tranmere] Bila Ada
Paul Taylor [Unattached - Doncaster]
Offrande Zanzala [Derby - Accrington] Ada Haijafichuliwa
Ashley Williams [Everton - Stoke] Mkopo
Kimataifa
Leonardo Bonucci [AC Milan - Juventus] £31.2m
Mattia Caldara [Juventus - AC Milan] £31.2m
Gonzalo Higuain [Juventus - AC Milan] Mkopo
Joel Pereira [Man Utd - Vitoria Setubal] Mkopo

1 Agosti

Ligi Kuu ya England
Lucas Digne [Barcelona - Everton] £18m
Cheikhou Kouyate [West Ham - Crystal Palace] Ada Haijafichuliwa
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
Tarryn Allarakhia [Colchester - Crawley] Bila Ada
Baily Cargill [Bournemouth - MK Dons] Bila Ada
Eoin Doyle [Preston - Bradford] Ada Haijafichuliwa
Niki Maenpaa [Brighton - Bristol City] Bila Ada
Andre Moreira [Atletico Madrid - Aston Villa] Mkopo
James Perch [QPR - Scunthorpe] Bila Ada
Ben Purrington [Rotherham - AFC Wimbledon] Mkopo
David Sesay [Watford - Crawley] Bila Ada
Luke Steele [Bristol City - Nottingham Forest] Bila Ada
Ben Woodburn [Liverpool - Sheffield United] Mkopo
Charlie Wyke [Bradford - Sunderland] Ada Haijafichuliwa
Kimataifa
Lamine Kone [Sunderland - Strasbourg] Mkopo
Ronaldo Vieira [Leeds - Sampdoria] Ada Haijafichuliwa
*Makala hii imeandazia uhamisho wa wachezaji katika klabu za Ligi ya Premia, Ligi za England na Wales (The Championship [Daraja la 2], League One - [Daraja la 3] na League Two [Daraja la 4]) na Ligi ya Scotland, pamoja na uhamisho kadha wa wachezaji kimataifa.

0 comments:

Post a Comment