Kutoka “Wamchangani” hadi “Kimataifa”, wazungu waipigia saluti Simba By Kicki_19 - August 20, 2018 6046 0 SHARE Facebook Twitter Zamani wakati Simba ikiwa haishiriki michezo ya kimataifa walikuwa wakiitwa “Wamchangani” lakini sasa klabu hiyo imeanza kutambulika kama “Wakimataifa”. Katika kudhihirisha hilo baadhi ya wazungu waliokuwepo katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa tuliwakamata na wakiwa na jezi ya wekundu wa Msimbazi na wakasema machache kuhusu klabu hiyo.
Zamani wakati Simba ikiwa haishiriki michezo ya kimataifa walikuwa wakiitwa “Wamchangani” lakini sasa klabu hiyo imeanza kutambulika kama “Wakimataifa”.
Katika kudhihirisha hilo baadhi ya wazungu waliokuwepo katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa tuliwakamata na wakiwa na jezi ya wekundu wa Msimbazi na wakasema machache kuhusu klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment