Liverpool imeanza na ubabe katika Ligi Kuu England kwa kuilaza West Ham United kwa ushndi wa mabao 4-0.
Katika
mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Anfield, Liverpool imejipatia mabao
yake kupitia kwa Sadio Mane aliyefunga mawili, Mohammed Salah na Daniel
Sturridge.
0 comments:
Post a Comment