Msemaji
mkuu wa klabu ya Simba sports club ya Jijini Dar Es Salaam Haji Manara
amefunguka na kudai kujitoa kwenye magrupu ya Whatspp ya klabu hiyo
kutokana na kuwa mashabiki wa Simba wanakiponda kiwango cha timu hiyo.

Manara ameongea hayo kupitia ukurusa wake wa Instagram kuwa mashabiki wengi wanaiponda timu hiyo kutokana na kiwango walichokionyesha jana dhidi ya Prison kutoka mjini Mbeya wanashindwa kuelewa kuwa timu hiyo ilishika nafasi ya nne msimu uliyopita.

Pia amesema mashabiki hao wamekuwa wakihusisha kiwango hicho na sababu eti timu hiyo ilifunga safari kwenda Ugiriki kwa ajili ya mazoezi ya Pre season lakini mashabiki hao hawaelewi walichokifuata Ugiriki wao wanaona Simba ilienda kujifunza mpira.
Na huu ndio Ujumbe wa Haji Manara kwa mashabiki wa Simba.

By Ally Juma.

0 comments:
Post a Comment