Club ya Man City Jumapili ya August 19 2018 ilicheza game yake ya Ligi Kuu England msimu wa 2018/2019 dhidi ya Huddersfield katika uwanja wao wa Etihad, Man City ambao ndio Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo jana walifanikiwa kupata ushindi wa magoli 6-1.
0 comments:
Post a Comment