Mshambuliaji
Cristiano Ronaldo akiifungia timu yake mpya, Juventus bao la kwanza leo
dakika ya nane katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yao ya vijana
chini ya umri wa miaka 19 kabla ya kusababisha bao la kujifunga kwa
wadogo zao hao katika ushindi wa 5-0. Mabao mengine yalifungwa na Paulo
Dybala mawili na Claudio Marchisio. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 33
alikuwa anaichezea kwa mara ya kwanza timu hiyo iliyomnunua kutoka Real
Madrid kwa dau la Pauni Milioni 100
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO JUVENTUS IKIUA 5-0
Monday, August 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment