Wednesday, August 1, 2018


Mshambuliaji wa Manchester United, Alexis Sanchez akipongezwa na mchezaji mwenzake, Matteo Darmian baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 18  katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa kirafiki wa Mabingwa wa Kimataifa kujiandaa na msimu Uwanja wa Hard Rock mjini Miami Gardens, Florida, Marekani. Bao la pili la United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 27, wakati bao la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 45 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA MAN UNITED WAWACHAPA REAL MADRID 2-1 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

0 comments:

Post a Comment