Wachezaji waliotajwa kuingia TOP 3 ya m hezaji bora wa UEFA ni Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa anaichezea Juventus, Mohamed Salah wa Liverpool na Luka Modric wa Real Madrid.
Kigezo kikubwa kilichofanya Luka Modric, Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah wa Liverpool kuingia katika Top 3 ni kutokana na uwezo wao waliouonesha msimu wa 2017/2018.
0 comments:
Post a Comment