Sunday, September 9, 2018


Bondia Muingereza, Amir Khan (kushoto) akipambana na Samuel Vargas wa Colombia anayeishi Canada usiku wa jana Uwanja wa Arena Birmingham kwenye pambano lisilo la ubingwa. Khan aliyeshinda kwa pointi za majaji wote, alimuangusha Vargas mwanzoni mwa raundi ya pili, naye akaangushwa mwishoni mwa raundi hiyo wote waliinuka haraka kuendelea hadi kumaliza raundi. Khan aliyemuangusha Vargas na raundi ya tatu pia pamoja na kumjeruhi pua, kwa ushindi huo anaweza kupigana na Manny Pacquiao au Kell Brook

0 comments:

Post a Comment