LIVERPOOL INAVYOJIANDAA KWA SPURS JUMAMOSI Wachezaji wa Liverpool wakiwa mazoezini viwanja vya Melwood leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi dhidi ya Tottenham Hotspur Jumamosi Uwanja wa Wembley mjini London
0 comments:
Post a Comment