Mshambuliaji
Sadio Mane akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia bao la
kwanza Liverpool dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester
City Uwanja wa King Power. Bao lingine la Liverpool limefungwa na
Roberto Firmino dakika ya 45, wakati la Leicester limefungwa na Rachid
Ghezzal dakika ya 63
Home
»
»Unlabelled
» LIVERPOOL YAENDELEA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU ENGLAND
Saturday, September 1, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment