CHELSEA YAFANIKISHA DAKIKA ZA MWISHO YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-0 Pedro akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya 'wagumu' AFC Bournemouth Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili limefungwa na Eden Hazard dakika ya 85
0 comments:
Post a Comment