GADIEL MAMBO SAAFI, AZAM FC YAMUACHIA AKIPIGE YANGA Azam FC imekubali kumuachia Gadiel Michael na sasa atacheza Yanga. Beki huyo alilalamika kuwa Azam FC ilikuwa inambania, lakini leo Ofisa Habari wa Yanga, Jaffar Idd amethibitisha hilo. “Yanga wamelipa nusu na sisi tumekubaliana nao kwamba tumuachie acheze, mambo mengine yatafuatia,” alisema.
0 comments:
Post a Comment