MARCUS RASHFORD AKIIMARISHA MISULI YAKE GYM Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akifanya mazoezi ya kuimarisha misuli yake wakati timu ya taifa ya England ikijiandaa na mchezo dhidi ya Hispania Jumamosi usiku michuano ya Ligi ya Mataifa ya UEFA kabla ya kumenyana na Uswisi
0 comments:
Post a Comment