Lionel
Messi akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 16 na 61
Barcelona ikishinda 8-2 dhidi ya Huesca iliyopanda La Liga msimu huu
jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca jana yamefungwa na Jorge
Pulido aliyejifunga dakika ya 24, Luis Suarez mawili dakika za 39 na 90
na ushei kwa penalti, Ousmane Dembele dakika ya 48, Ivan Rakitic dakika
ya 52 na Jordi Alba dakika ya 81, wakati ya Huesca yamefungwa na Cucho
Hernandez, anayecheza kwa mkopo kutoka Watford dakika ya tatu na Alex
Gallar dakika ya 42
Home
»
»Unlabelled
» MESSI AFUNGA MAWILI KAMA SUAREZ BARCA IKISHINDA 8-2
Monday, September 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment