Marcus
Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee England
dakika ya 54 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa
kirafiki usiku huu Uwanja wa King Power mjini Leicester hilo likiwa bao
lake la tano kuifungia timu yake ya taifa
0 comments:
Post a Comment