Thursday, September 13, 2018


Marco Asensio (kushoto) akifurahia na beki Sergio Ramos baada ya wote kufunga katia ushindi wa 6-0 dhidi ya Croatia iliyoongozwa na Mwanasoka Bora wa Ulaya, Luca Modric kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Asensio alifunga dakika ya 33, Ramos dakika ya 57 na mabao mengine yamefungwa na Kalinic aliyejifunga dakika ya 35, Rodrigo dakika ya 49 na Isco dakika ya 70

0 comments:

Post a Comment