Cristiano
Ronaldo akikimbilia kushangilia baada ya kuifungia Juventus bao la
kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Frosinone
Uwanja wa Benito Stirpe mjini Frosinone katika mchezo wa Serie A. Bao la
pili la Juve limefungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei
0 comments:
Post a Comment