YAYA TOURE APATA MAPOKEZI MAKUBWA OLYMPIACOS Yaya Toure akifurahia wakati wa utambulisho wake katika klabu yake mpya, Olympiacos nchini Ugiriki jana kufuatia kusaini kama mchezaji huru baada ya kuachwa Manchester City. Picha nyingine kulia ni mashabiki waliojitokeza katika utambulisho wake
0 comments:
Post a Comment