Monday, October 15, 2018


Eder (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la pili dakika ya 74 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow, Scotland. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo, yalifungwa na Helder Costa dakika ya 43 na Bruma dakika ya 84 wakati la wenyeji lilifungwa na Steven Naismith dakika ya 90 na ushei

0 comments:

Post a Comment