CHEKO LA NEYMAR BRAZIL IKIJIANDAA KUIVAA SAUDI ARABIA Mshambuliaji Neymar akifurahia kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Brazil leo asubuhi viwanja vya Tottenham Hotspur mjini London kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Saudi Arabia Ijumaa Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mfalme Saud mjini Riyadh
0 comments:
Post a Comment