Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o tayari amewasili Tanzania.
Video Player
00:00
00:18
Eto’o amekuja Tanzania kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa 5-A Side utakaojengwa Oysterbay
0 comments:
Post a Comment